Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Wakamwendea Yesu, wakamwona yule mwenye pepo, ameketi, amevaa nguo, ana akili zake, nae ndiye aliyekuwa na ile legione; wakaogopa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Wakamwendea Yesu, wakamwona na mtu yuleyule aliyekuwa amepagawa na jeshi la pepo ameketi chini, amevaa nguo na ana akili yake sawa, wakaogopa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Wakamwendea Yesu, wakamwona na mtu yuleyule aliyekuwa amepagawa na jeshi la pepo ameketi chini, amevaa nguo na ana akili yake sawa, wakaogopa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Wakamwendea Yesu, wakamwona na mtu yuleyule aliyekuwa amepagawa na jeshi la pepo ameketi chini, amevaa nguo na ana akili yake sawa, wakaogopa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Walipofika kwa Isa, wakamwona yule mtu aliyekuwa amepagawa na legioni ya pepo wachafu akiwa ameketi hapo, amevaa nguo na mwenye akili timamu. Wakaogopa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Walipofika kwa Isa, wakamwona yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu legioni akiwa ameketi hapo, amevaa nguo na mwenye akili timamu. Wakaogopa.

Tazama sura Nakili




Marko 5:15
21 Marejeleo ya Msalaba  

Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu? ndipo atakapoiteka nyumba yake.


Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu sasa hivi, akaniletea zaidi ya majeshi thenashara ya malaika?


Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.


Na pepo alipofukuzwa, yule bubu akasema, makutano wakastaajabu, wakanena, Haijaonekana hivi katika Israeli wakati wo wote.


Wachungaji wa wale nguruwe wakakimbia wakaeneza khahari mjini na mashamba. Wakatoka waone khabari iliyotukia.


Nao walioona wakaeleza ni mambo gani yaliyompata yule mwenye pepo, na khabari za nguruwe.


Alipokuwa akipanda chomboni, yule aliyekuwa na pepo akamsihi awe pamoja nae:


kwa sababu alikuwa amefungwa marra nyingi kwa pingu na minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunjavunja zile pingu; wala hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda.


Akamwambia, Jina lako nani? Akajibu, akamwambia, Jina langu Legioni: kwa kuwa tu wengi.


Nae alikuwa na ndugu mwanamke aitwae Mariamu, nae alikuwa ameketi miguuni pa Yesu, akasikia maneno yake.


Hatta aliposhuka pwani, alikutwa na udu mmoja wa mji ule, aliyekuwa ua pepo siku nyingi, nae kwa muda mrefu alikuwa havai nguo, wala hakai nyumbani illa makaburini.


aliyetuokoa na uguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;


Maana Mungu hakutupa roho ya khofu, bali ya nguvu na ya upendo ua ya moyo wa kiasi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo