Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Pepo wote wakamsihi, wakinena, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Wale pepo wachafu wakamsihi Isa wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wale pepo wachafu wakamsihi Isa wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.”

Tazama sura Nakili




Marko 5:12
9 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.


Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararueni.


Na pale milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, walisha.


Akawapa rukhusa. Wale pepo wachafu wakatoka, wakaingia katika wale ngumwe: kundi lote likatelemka kwa kassi gengeni, wakaingia baharini; walikuwa wapata elfeen; wakafa baharini.


Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana sisi si wajinga, tunajua fikara zake.


Erevukeni, kesheni; kwa kuwa mshitaki wenu Shetani, kama simba angurumae, huzungukazunguka, akitafuta mtu amle;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo