Marko 5:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Akamsihi sana asiwapeleke nje ya incbi ile. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kisha akamsihi Yesu asiwafukuze hao pepo katika nchi ile. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kisha akamsihi Yesu asiwafukuze hao pepo katika nchi ile. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kisha akamsihi Yesu asiwafukuze hao pepo katika nchi ile. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Akamsihi Isa sana asiwapeleke nje ya nchi ile. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Akamsihi Isa sana asiwapeleke nje ya nchi ile. Tazama sura |