Marko 5:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 WAKAFIKA ngʼambu ya bahari hatta inchi ya Wageraseni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ngambo ya ziwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ngambo ya ziwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ng'ambo ya ziwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa na wanafunzi wake wakafika upande wa pili wa ziwa, wakaingia katika nchi ya Wagerasi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika nchi ya Wagerasi. Tazama sura |