Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 4:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Yeye mwenyewe alikuwa katika shetri, amelala juu ya mto: wakamwamsha, wakamwambia, Mwalimu, si kitu kwako kuwa tunapotea?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Yesu alikuwa sehemu ya nyuma ya mashua, amelala juu ya mto. Basi, wanafunzi wakamwamsha na kumwambia, “Mwalimu, je, hujali kwamba sisi tunaangamia?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Yesu alikuwa sehemu ya nyuma ya mashua, amelala juu ya mto. Basi, wanafunzi wakamwamsha na kumwambia, “Mwalimu, je, hujali kwamba sisi tunaangamia?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Yesu alikuwa sehemu ya nyuma ya mashua, amelala juu ya mto. Basi, wanafunzi wakamwamsha na kumwambia, “Mwalimu, je, hujali kwamba sisi tunaangamia?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Isa alikuwa katika shetri, akiwa analala juu ya mto. Wanafunzi wake wakamwamsha, wakamwambia, “Mwalimu, hujali kama tunazama?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Isa alikuwa katika shetri, akiwa analala juu ya mto. Wanafunzi wake wakamwamsha, wakamwambia, “Mwalimu, hujali kama tunazama?”

Tazama sura Nakili

Marko 4:38
22 Marejeleo ya Msalaba  

Wakawatuma kwake wanafunzi wao pamoja na Maherodiano, wakanena, Mwalimu, twajua ya kuwa wewe u mtu wa kweli, ua njia va Mungu waifundisha katika kweli, wala hujali cheo cha mtu, kwa maana hutazami sura za watu.

Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwamsha, wakinena, Bwana, tuokoe tunaangamia.

Ikatokea dharuba kuu ya npepo, mawimbi yakapiga chombo hatta kikaanza kujaa maji.

Akaamka: akaukemea upepo, akaiambia bahari, Nyamaza, tulia. Upepo nkakoma, kukuwa shwari kuu.

Wakamwendea, wakamwamsha, wakisema, Mwalimu, Mwalimu, tunaangamia. Akaondoka, akaukemea upepo, na msukosuko wa maji, vikakoma, kukawa shwari.

Na hapo palikuwa na kisima cha Yakobo. Bassi Yesu, kwa sababu amechoka kwa safari yake, akaketi vivi hivi kisimani. Ilikuwa yapata saa sita.

Kwa hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, illi afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.

Kwa kuwa hatuna kuhani mkuu asiyeweza kuyachukua mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijuribiwa sawa sawa na sisi katika mambo yote, bila dhambi.

mkimtwika yeye taabu zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana katika mambo yenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo