Marko 4:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192137 Ikatokea dharuba kuu ya npepo, mawimbi yakapiga chombo hatta kikaanza kujaa maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Basi, dhoruba kali ikaanza kuvuma, mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikaanza kujaa maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Basi, dhoruba kali ikaanza kuvuma, mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikaanza kujaa maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Basi, dhoruba kali ikaanza kuvuma, mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikaanza kujaa maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Kukawa na dhoruba kali, nayo mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikawa karibu kujaa maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Kukawa na dhoruba kali, nayo mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikawa karibu kujaa maji. Tazama sura |