Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 4:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Wakawaacha makutano, wakamchukua vile vile katika chomho kile kile. Na vyombo vingine vilikuwako pamoja nae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Basi, wakauacha ule umati wa watu, wakamchukua Yesu katika mashua alimokuwa. Vilevile mashua nyingine zilimfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Basi, wakauacha ule umati wa watu, wakamchukua Yesu katika mashua alimokuwa. Vilevile mashua nyingine zilimfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Basi, wakauacha ule umati wa watu, wakamchukua Yesu katika mashua alimokuwa. Vilevile mashua nyingine zilimfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Wakaacha umati wa watu, na wakamchukua vile alivyokuwa kwenye mashua. Palikuwa pia na mashua zingine nyingi pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Wakauacha ule umati wa watu, na wakamchukua vile alivyokuwa kwenye mashua. Palikuwa pia na mashua nyingine nyingi pamoja naye.

Tazama sura Nakili




Marko 4:36
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akapanda chomboni, wanafunzi wake wakamfuata.


Akawaambia wanafunzi wake ya kama chombo kidogo kikae karibu nae, kwa sababu ya makutano, wasije wakamsonga.


AKAANZA kufundisha tena kando ya bahari. Wakamkusanyikia mkutano mkuliwa, hatta yeye akapanda chomboni, akakaa baharini; mkutano wote ulikuwako katika inchi kavu kando ya bahari.


Ikatokea dharuba kuu ya npepo, mawimbi yakapiga chombo hatta kikaanza kujaa maji.


Na alipokwisha kushuka chomboni, marra akakutwa na mtu ambae ametoka makaburini, nae ana pepo mchafu, makao yake yalikuwa pale makaburini:


Hatta Yesu alipokwisha kuvuka kurudia ngʼambu katika kile chombo, wakamkusanyikia makutano mengi: nae alikuwa kando ya bahari.


Wakaenda zao chomboni, mahali pasipo watu, kwa faragha.


Ikawa siku mojawapo ya siku zile akapanda chomboni, yeye na wanafunzi wake, akawaambia, Na tuvuke hatta ngʼambu ya ziwa: wakatweka matanga.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo