Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 4:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 na ikiisha kupandwa, hukua, ikawa kubwa kuliko miti yote ya mboga, ikifanya matawi makuhwa; hatta ndege za anga waweza kukaa chini ya uvuli wake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Lakini ikisha pandwa, huota na kuwa mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani. Matawi yake huwa makubwa hata ndege wa angani huweza kujenga viota vyao katika kivuli chake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Lakini ikisha pandwa, huota na kuwa mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani. Matawi yake huwa makubwa hata ndege wa angani huweza kujenga viota vyao katika kivuli chake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Lakini ikisha pandwa, huota na kuwa mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani. Matawi yake huwa makubwa hata ndege wa angani huweza kujenga viota vyao katika kivuli chake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Lakini ikipandwa, hukua ikawa mmea mkubwa kuliko yote katika bustani, ikawa na matawi makubwa hata ndege wa angani wanaweza kujenga viota kwenye kivuli chake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Lakini ikishaota, hukua ikawa mmea mkubwa kuliko yote ya bustanini, ikawa na matawi makubwa hata ndege wa angani wanaweza kujenga viota kwenye matawi yake.”

Tazama sura Nakili

Marko 4:32
15 Marejeleo ya Msalaba  

nayo ni ndogo kuliko mbegu zote; lakini ikiisha kumea, ni kubwa kuliko mboga zote, ikawa mti, hatta ndege za anga huja na kutua katika matawi yake.

Ni kama punje ya kharadali ambayo, ipandwapo katika inchi, ni ndogo kuliko mbegu zote zilizo katika inchi,

Kwa mifano mingi ya namna hii alikuwa akisema nao neno lake, kwa kadiri walivyoweza kusikia;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo