Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 4:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Akanena, Tuulinganishe na nini ufalme wa Mungu? au tuutie katika mfano gani?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Tena, Yesu akasema, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Tuueleze kwa mifano gani?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Tena, Yesu akasema, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Tuueleze kwa mifano gani?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Tena, Yesu akasema, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Tuueleze kwa mifano gani?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Akawaambia tena, “Tuufananishe ufalme wa Mungu na nini? Au tutumie mfano gani ili kuueleza?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Akawaambia tena, “Tuufananishe Ufalme wa Mwenyezi Mungu na nini? Au tutumie mfano gani ili kuueleza?

Tazama sura Nakili




Marko 4:30
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nitafananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wakikaa sokoni, wanaowaita wenzao,


Akawatolea mfano mwingine, akinena, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake:


Ni kama punje ya kharadali ambayo, ipandwapo katika inchi, ni ndogo kuliko mbegu zote zilizo katika inchi,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo