Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 4:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Hatta matunda yakiiva, marra aupeleka mundu kwa kuwa mavuno yamewadia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Nafaka inapoiva, huyo mtu huanza kutumia mundu wake, maana wakati wa mavuno umefika.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Nafaka inapoiva, huyo mtu huanza kutumia mundu wake, maana wakati wa mavuno umefika.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Nafaka inapoiva, huyo mtu huanza kutumia mundu wake, maana wakati wa mavuno umefika.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Mara nafaka inapokuwa imekomaa, mkulima huenda shambani na mundu kuvuna, maana mavuno yamekuwa tayari.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Lakini nafaka inapokuwa imekomaa, mara mkulima huingia shambani na mundu wa kuvunia, maana mavuno yamekuwa tayari.”

Tazama sura Nakili




Marko 4:29
9 Marejeleo ya Msalaba  

Viacheni vyote vikue hatta wakati wa mavuno: na wakati wa mavuno nitawaambia wavimao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita, mkayachome; bali nganu ikusauyeni ghalani mwangu.


Maana inchi huzaa yenyewe, kwanza jani, tena suke, kiisha nganu mpevu katika suke.


Na malaika mwingine akatoka katika ile madhbabu, mwenye mamlaka juu ya moto; kwa sauti kuu akamlilia yule mwenye mundu ule mkali, akisema, Tia mundu wako mkali, ukachume matawi va mzabibu wa inchi, maana zabibu zake zimewiva sana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo