Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 4:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Maana inchi huzaa yenyewe, kwanza jani, tena suke, kiisha nganu mpevu katika suke.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: Kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: Kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke.

Tazama sura Nakili




Marko 4:28
19 Marejeleo ya Msalaba  

Baadae majani ya nganu yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu.


akawa akilala na kuondoka, usiku na mchana, nayo mbegu ikimea na kukua, asivyojua yeye.


Hatta matunda yakiiva, marra aupeleka mundu kwa kuwa mavuno yamewadia.


niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hatta siku ya Yesu Kristo;


mwenende kama ilivyo wajib wenu kwa Bwana, mkimpendeza kabisa; kwa killa kazi njema mkizaa matunda, mkizidi katika maarifa ya Mungu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo