Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 4:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 akawa akilala na kuondoka, usiku na mchana, nayo mbegu ikimea na kukua, asivyojua yeye.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Usiku hulala, mchana yu macho na wakati huo mbegu zinaota na kukua; yeye hajui inavyofanyika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Usiku hulala, mchana yu macho na wakati huo mbegu zinaota na kukua; yeye hajui inavyofanyika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Usiku hulala, mchana yu macho na wakati huo mbegu zinaota na kukua; yeye hajui inavyofanyika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Baada yake kuzipanda, usiku na mchana, akiwa amelala au ameamka, mbegu huota na kukua pasipo yeye kujua ikuavyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Akiisha kuzipanda, usiku na mchana, akiwa amelala au ameamka, mbegu huota na kukua pasipo yeye kujua ikuavyo.

Tazama sura Nakili




Marko 4:27
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akanena, Ufalme wa Mungu, mithili yake ni mtu aliyemwaga mbegu juu ya inchi:


Maana inchi huzaa yenyewe, kwanza jani, tena suke, kiisha nganu mpevu katika suke.


Imetupasa kumshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu, ndugu, kama ilivyo wajib, kwa kuwa imani yenu inazidi sana, na upendo wa killa mtu kwenu kwa wenzake umekuwa mwingi.


Lakini, kaeni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu, Mwokozi wetu, Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hatta milele. Amin.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo