Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 4:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Kwa maana mtu aliye na kitu atapewa, nae asiye na kitu, hatta kile alicho nacho ataondolewa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Aliye na kitu atapewa zaidi; asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Aliye na kitu atapewa zaidi; asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Aliye na kitu atapewa zaidi; asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Kwa maana kila mtu aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Kwa maana kila mtu aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.”

Tazama sura Nakili

Marko 4:25
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana ye yote aliye na mali atapewa, na hado atazidishiwa tele: lakini ye yote asiye nayo, hatta ile aliyo nayo ataondolewa.

Akanena, Ufalme wa Mungu, mithili yake ni mtu aliyemwaga mbegu juu ya inchi:

Jihadharini, bassi, jinsi msikiavyo. Maana yeye aliye na kitu, atapewa: nae asiye na kitu ataondolewa hatta kitu kile ambacho anaonekana kuwa anacho.

Kilia tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na killa lizaalo hulisafisha illi lizidi kuzaa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo