Marko 4:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Akawaambia, Mwaonaje? Taa huletwa illi kutiwa ehini ya kikapu, au ehini ya kitanda? si kutiwa juu ya kibao cha kuwekea taa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Yesu akaendelea kuwaambia, “Je, watu huwasha taa wakaileta ndani na kuifunika kwa debe au kuiweka mvunguni? La! Huiweka juu ya kinara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Yesu akaendelea kuwaambia, “Je, watu huwasha taa wakaileta ndani na kuifunika kwa debe au kuiweka mvunguni? La! Huiweka juu ya kinara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Yesu akaendelea kuwaambia, “Je, watu huwasha taa wakaileta ndani na kuifunika kwa debe au kuiweka mvunguni? La! Huiweka juu ya kinara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Akawaambia, “Je, taa huwashwa na kufunikwa chini ya kikapu au mvunguni mwa kitanda? Je, haiwashwi na kuwekwa juu ya kinara chake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Akawaambia, “Je, taa huwashwa na kufunikwa chini ya kikapu au mvunguni mwa kitanda? Je, haiwashwi na kuwekwa juu ya kinara chake? Tazama sura |