Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 4:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuijua siri ya ufalme wa Mungu; hali wale walio nje yote huwawia kwa mifano,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Naye akawaambia, “Nyinyi mmejaliwa kujua siri ya ufalme wa Mungu, lakini wale walio nje wataambiwa kila kitu kwa mifano,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Naye akawaambia, “Nyinyi mmejaliwa kujua siri ya ufalme wa Mungu, lakini wale walio nje wataambiwa kila kitu kwa mifano,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Naye akawaambia, “Nyinyi mmejaliwa kujua siri ya ufalme wa Mungu, lakini wale walio nje wataambiwa kila kitu kwa mifano,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Naye akawaambia, “Ninyi mmepewa siri ya ufalme wa Mungu. Lakini kwa wale walio nje, kila kitu husemwa kwa mifano,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Naye akawaambia, “Ninyi mmepewa kujua siri ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu. Lakini kwa wale walioko nje, kila kitu husemwa kwao kwa mifano,

Tazama sura Nakili




Marko 4:11
20 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati ule Yesu akajibu akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na inchi, kwa kuwa uliwaficha haya wenye hekima na busara, ukawafunulia wadogo:


Lakini ya kheri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia.


Yesu akajibu, akamwambia, U kheri Simon bar Yunus; kwa kuwa nyama na damu hazikukufunulia haya, bali Baba yangu aliye mbinguni.


Akawaita, akawaambia kwa mifano, Awezaje Shetani kumfukuza Shetani?


Alipokuwa peke yake, watu waliomzunguka, na wale thenashara wakamwuliza khabari za ule mfano.


Akawafundisha mengi kwa mifano, akawaambia katika mafundisho yake,


Akasema, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa Mungu, bali wengineo kwa mifano, illi wakiona, wasione, na wakisikia, wasitambue.


Maana ni nani anaekupambanua na mwingine? na una, nini usiyoipokea? Na iwapo uliipokea, wajisifiani kana kwamba hukuipokea?


Kwa kuwa Mungu, aliyesema, Nuru itangʼaa toka gizani, ndive aliyengʼaa mioyoni mwetu, atupe nuru va elimu ya utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo.


akiisha kutujulisha siri ya nia yake, kwa kadiri ya mapenzi yake, aliyoyakusudia katika yeye huyu,


Enendeni kwa hekima mbele vao walio nje, mkiukomboa wakati.


illi mwenende kwa adabu mbele yao walio nje, wala msiwe na baja ya cho chote.


Imempasa tena kushuhudiwa mazuri na watu walio nje; asitumbukie katika lawama na mtego wa Shetani.


Twajua kwamba Mwana wa Mungu amekwisha kuja, nae ametupa akili illi tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, ndani ya Mwana wake Yesu Kristo. Huyu ndiye aliye Mungu wa kweli na uzima wa milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo