Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 4:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Alipokuwa peke yake, watu waliomzunguka, na wale thenashara wakamwuliza khabari za ule mfano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yesu alipokuwa peke yake, baadhi ya wale waliomsikia walimwendea pamoja na wale kumi na wawili, wakamwuliza juu ya hiyo mifano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yesu alipokuwa peke yake, baadhi ya wale waliomsikia walimwendea pamoja na wale kumi na wawili, wakamwuliza juu ya hiyo mifano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yesu alipokuwa peke yake, baadhi ya wale waliomsikia walimwendea pamoja na wale kumi na wawili, wakamwuliza juu ya hiyo mifano.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Alipokuwa peke yake, watu waliokuwa naye pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili wakamuuliza kuhusu mifano yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Alipokuwa peke yake, watu waliokuwepo naye pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili wakamuuliza kuhusu mifano yake.

Tazama sura Nakili




Marko 4:10
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema nao mengi kwa mifano, akinena, Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu.


Kisha Yesu akawaacha makutano, akaingia nyumbani: wanafunzi wake wakamwendea, wakinena, Tufafanulie mfano wa magugu ya konde.


Akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuijua siri ya ufalme wa Mungu; hali wale walio nje yote huwawia kwa mifano,


wala pasipo mfano hakusema nao: akawaeleza wanafunzi wake mambo yote kwa faragha.


Akanena, Aliye na masikio ya kusikilia, na asikie.


Hatta alipoingia nyumbani, amewaacha makutano, wanafunzi wake wakamwuliza khabari za ule mfano.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo