Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 3:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 marra wakaloka wale Mafarisayo, wakamfanyia shauri pamoja na Maherodiano jinsi ya kumwangamiza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Mara Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri pamoja na watu wa kikundi cha Herode jinsi ya kumwangamiza Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Mara Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri pamoja na watu wa kikundi cha Herode jinsi ya kumwangamiza Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Mara Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri pamoja na watu wa kikundi cha Herode jinsi ya kumwangamiza Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kisha Mafarisayo wakatoka nje, nao wakaanza kufanya njama ya kumuua Isa wakishirikiana na Maherode.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kisha Mafarisayo wakatoka nje, nao wakaanza kufanya shauri la kumuua Isa wakiwa na Maherode.

Tazama sura Nakili




Marko 3:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mafarisayo wakatoka wakamfanyia shauri la kumwangamiza.


Wakawatuma kwake wanafunzi wao pamoja na Maherodiano, wakanena, Mwalimu, twajua ya kuwa wewe u mtu wa kweli, ua njia va Mungu waifundisha katika kweli, wala hujali cheo cha mtu, kwa maana hutazami sura za watu.


Wakatuma kwake baadhi ya Mafarisayo na Maherodiano, illi wamnase kwa maneno.


Akawaagiza, akisema, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode.


Makuhani wakuu na waandishi wakatafuta njia ya kumwua, kwa maana walikuwa wakiwaogopa watu.


Akatenda hivyo. Mkono wake ukapona, ukawa mzima kama wa pili. Nao wakatekewa moyo: wakisemezana wao kwa wao, wamtendeje Yesu.


Bassi tangu siku ile walifanya shauri wapate kumwua.


nawe ulinena kwa kinywa cha Daud mtumishi wako, Mbona mataifa wamefanya ghasia, Na watu wametafakari ubatili?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo