Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 3:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Akawajibu, akinena, Mama yangu na ndugu zangu ni nani?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Yesu akawaambia, “Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Yesu akawaambia, “Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Yesu akawaambia, “Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?”

Tazama sura Nakili




Marko 3:33
9 Marejeleo ya Msalaba  

Jamaa zake walipopata khabari wakatoka kwenda kumkamata: maana walinena, Amerukwa na akili.


Na makutano walikuwa wameketi, wakimzunguka; wakamwambia, Mama yako, na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.


Akawatazama wale walioketi wakimzunguka pande zote, akanena, Tazama, Mama yangu na ndugu zangu.


Huyu si yule sermala, mwana wa Mariamu, na ndugu wii Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simon? na ndugu zake wanawake hawapo hapa petu? Wakachukizwa nae.


Akawaambia, Kwani kunitafuta? Hamkujua ya kuwa imenipasa kuwa katika nyumba ya baba yangu?


Yesu akamwambia, Bibi, ina nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia.


Hatta imekuwa, sisi tangu sasa hatumjui mtu awae yote kwa jinsi ya mwili. Ingawa sisi tumemjua Kristo kwa jinsi ya mwili, sasa lakini hatumjui hivi tena.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo