Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 3:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Wakaja mama yake na ndugu zake; wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Kisha wakaja ndugu zake Isa pamoja na mama yake. Wakiwa wamesimama nje, wakamtuma mtu kumwita.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Kisha wakaja ndugu zake Isa pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita.

Tazama sura Nakili




Marko 3:31
5 Marejeleo ya Msalaba  

Jamaa zake walipopata khabari wakatoka kwenda kumkamata: maana walinena, Amerukwa na akili.


kwa vile walivyonena, Ana pepo mchafu.


Na makutano walikuwa wameketi, wakimzunguka; wakamwambia, Mama yako, na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo