Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 3:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, Simama katikati.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, “Njoo hapa katikati.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, “Njoo hapa katikati.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, “Njoo hapa katikati.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Isa akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, “Njoo hapa mbele ya watu wote.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Isa akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, “Njoo hapa mbele ya watu wote.”

Tazama sura Nakili




Marko 3:3
12 Marejeleo ya Msalaba  

Na tazama mtu mwenye mkono umepooza, wakamwuliza, wakinena, Ni halali kuponya watu siku ya sabato? wapate kumshtaki.


wakamvizia kuona kwamba atampotiya siku ya sabato: wapate kumshitaki.


Akawaambia, Ni halali siku ya sabato kutenda mema, au kutenda mabaya? kuokoa roho au kuua? Wakanyamaza.


Lakini yeye akatambua mawazo yao, akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, Ondoka, kasimama katikati.


Yanipasa kuzifanya kazi zake aliyenipeleka maadam ni mchana: usiku waja, asipoweza mtu kufanya kazi.


Bassi, ndugu wapendwa, mwe imara, msiotikisika, mkizidi sana kutenda kazi ya Bwana siku zote, kwa kuwa taabu yenu siyo burre katika Bwana.


Na tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia.


Na walio wengi wa ndugu walio katika Bwana, wakipata kuthubutika kwa ajili ya kufungwa kwangu, wamezidi sana kuthubutu kulinena neno la Bwana pasipo khofu.


BASSI kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake kwa ajili yenu, ninyi nanyi jivikeni nia ile ile kama silaha; kwa maana yeye allyeteswa katika mwili, ameachana na dhambi;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo