Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 3:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 bali mtu atakaemkufuru Roho Mtakatifu hana masamaha hatta milele; bali atakuwa ana dhambi ya milele;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele.” (

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele.” (

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele.” (

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu wa Mungu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Lakini yeyote anayemkufuru Roho wa Mwenyezi Mungu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”

Tazama sura Nakili




Marko 3:29
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawo watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele: bali wenye haki katika uzima wa milele.


Baadhi ya waandishi wakasema nafsini mwao, Huyu anakufuru.


wanakula nyumba za wajane, na kwa unafiki husali sala ndefu: hawa watapokea hukumu iliyo kubwa.


kwa vile walivyonena, Ana pepo mchafu.


Na killa mmoja atakaesema neno juu ya Mwana wa Adamu, atasamehewa, bali yeye aliyemtukana Roho Mtakatifu hatasamehewa.


watakaoadhibiwa kwa uharibifu wa milele, kutengwa na uso wa Bwana na na utukufu wa nguvu zake,


ni mawimbi ya bahari vasiyozuilika, yakitoa aibu yao wenyewe kama povu, ni nyota zipoteazo, ambao giza ndio akiba yao waliowekewa milele.


Kama vile bodoma na Gomora, na miji iliyozunguka, waliofuata uasharati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wamepasiwa hukumu yamoto wa milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo