Marko 3:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Amin, nawaambieni, Dbambi zote watasamehewa wana Adamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 “Kweli nawaambieni, watu watasamehewa dhambi zao zote na kufuru zao zote; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 “Kweli nawaambieni, watu watasamehewa dhambi zao zote na kufuru zao zote; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 “Kweli nawaambieni, watu watasamehewa dhambi zao zote na kufuru zao zote; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Amin, nawaambia, watu wataweza kusamehewa dhambi na kufuru zao zote; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa. Tazama sura |