Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 3:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Na kama Shetani ameondoka juu ya nafsi yake akafitinika, hawezi kusimama, bali ana kikomo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Ikiwa basi, utawala wa Shetani umegawanyika vikundivikundi hauwezi kudumu, bali utaangamia kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Ikiwa basi, utawala wa Shetani umegawanyika vikundivikundi hauwezi kudumu, bali utaangamia kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Ikiwa basi, utawala wa Shetani umegawanyika vikundivikundi hauwezi kudumu, bali utaangamia kabisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Na kama Shetani akijipinga mwenyewe na awe amegawanyika, hawezi kusimama, bali mwisho wake umetimia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Naye Shetani kama akijipinga mwenyewe na awe amegawanyika, hawezi kusimama bali mwisho wake umewadia.

Tazama sura Nakili

Marko 3:26
2 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Yesu akamwambia, Nenda zako, Shetani: kwa maana imeandikwa, Utamsujudia Bwana Mungu wako, nae peke yake utamwabudu.

na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba ile haiwezi kusimama.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo