Marko 3:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Kiisha wakaingia nyumbani; makutano wakakusanyika tena, wao wenyewe wasiweze kula hatta mkate. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kisha Yesu alikwenda nyumbani. Umati wa watu ukakusanyika tena, hata Yesu na wafuasi wake wasiweze kupata nafasi ya kula chakula. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kisha Yesu alikwenda nyumbani. Umati wa watu ukakusanyika tena, hata Yesu na wafuasi wake wasiweze kupata nafasi ya kula chakula. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kisha Yesu alikwenda nyumbani. Umati wa watu ukakusanyika tena, hata Yesu na wafuasi wake wasiweze kupata nafasi ya kula chakula. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Kisha Isa alipoingia ndani ya nyumba, umati wa watu wakakusanyika tena, kiasi kwamba yeye na wanafunzi wake hawakuweza kula chakula. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kisha Isa aliporudi nyumbani, umati wa watu ukakusanyika tena, kiasi kwamba yeye na wanafunzi wake hawakuweza kula chakula. Tazama sura |