Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 3:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 wakamvizia kuona kwamba atampotiya siku ya sabato: wapate kumshitaki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Humo, baadhi ya watu walimngojea amponye mtu huyo siku ya Sabato ili wapate kumshtaki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Humo, baadhi ya watu walimngojea amponye mtu huyo siku ya Sabato ili wapate kumshtaki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Humo, baadhi ya watu walimngojea amponye mtu huyo siku ya Sabato ili wapate kumshtaki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Wakawa wanamwangalia waone kama atamponya huyo mtu siku ya Sabato, ili wapate sababu ya kumshtaki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Wakawa wanamwangalia waone kama atamponya siku ya Sabato, ili wapate sababu ya kumshtaki.

Tazama sura Nakili




Marko 3:2
12 Marejeleo ya Msalaba  

Na tazama mtu mwenye mkono umepooza, wakamwuliza, wakinena, Ni halali kuponya watu siku ya sabato? wapate kumshtaki.


Akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, Simama katikati.


IKAWA, Yesu alipoingia katika nyumba ya mtu mmoja, mtu mkuu katika Mafarisayo, siku ya sabato, ale chakula, walikuwa wakimvizia.


Wakamvizia wakatuma wapelelezi, nao wakajifanya kuwa wenye haki, illi wamnase kwa neno lake, kusudi wamtie katika enzi na mamlaka ya liwali.


Mafarisavo na waandishi wakamvizia kuona kwamba ataponya siku ya Sabato, wapate kumshitaki.


Wakasema neno hili wakimjaribu wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika inchi.


Bassi baadhi ya Mafarisayo wakanena, Mtu huyu hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakanena, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo