Marko 3:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 AKAINGIA tena katika sunagogi: na palikuwako huko mtu mwenye mkono umepooza: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yesu aliingia tena katika sunagogi na mle ndani mlikuwa na mtu aliyekuwa na mkono uliopooza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yesu aliingia tena katika sunagogi na mle ndani mlikuwa na mtu aliyekuwa na mkono uliopooza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yesu aliingia tena katika sunagogi na mle ndani mlikuwa na mtu aliyekuwa na mkono uliopooza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa akaingia tena ndani ya sinagogi, na kulikuwa na mtu aliyepooza mkono. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Isa akaingia tena ndani ya sinagogi, na huko palikuwa na mtu aliyepooza mkono. Tazama sura |