Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 2:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Vipi vyepesi, kumwambia mwenye kupooza, Dhambi zako zimeondolewa, au kusema, Ondoka, njitwike kitanda chako, ukaenende?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Ni lipi lililo rahisi zaidi: Kumwambia mtu huyu aliyepooza, ‘Umesamehewa dhambi zako,’ au kumwambia, ‘Inuka! Chukua mkeka wako utembee?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Ni lipi lililo rahisi zaidi: Kumwambia mtu huyu aliyepooza, ‘Umesamehewa dhambi zako,’ au kumwambia, ‘Inuka! Chukua mkeka wako utembee?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Ni lipi lililo rahisi zaidi: kumwambia mtu huyu aliyepooza, ‘Umesamehewa dhambi zako,’ au kumwambia, ‘Inuka! Chukua mkeka wako utembee?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Je, ni lipi lililo rahisi zaidi: kumwambia huyu aliyepooza, ‘Umesamehewa dhambi zako,’ au kusema, ‘Inuka, uchukue mkeka wako, uende’?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Je, ni lipi lililo rahisi zaidi: kumwambia huyu aliyepooza, ‘Umesamehewa dhambi zako,’ au kusema, ‘Inuka, uchukue mkeka wako, uende’?

Tazama sura Nakili




Marko 2:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.


Wakamletea mgonjwa wa kupooza, amelala kitandani: na Yesu, akiona imani yao, akamwambia yule mgonjwa wa kupooza, Jipe moyo mkuu, mwanaugu; umeondolewa dhambi zako.


Kwa maana vipi vyepesi, kusema, Umeondolewa dhambi zako; au kusema, Ondoka, ukaende?


Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu ana mamlaka duniani ya kuondoa dbambi (amwambia yule inwenye kupooza),


Marra Yesu akafahamu rohoni mwake kama wanafikiri hivi nafsini mwao, akawaambia, Mbona mnafikiri hivi mioyoni mwenu?


Akamwambia, Umesamehewa dhambi zako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo