Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 2:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Na walipokuwa hawawezi kumkaribia kwa sababu va makutano, wakaitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakakitelemsha kitanda alichokilalia yule mwenye kupooza.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kwa sababu ya huo umati wa watu, hawakuweza kumpeleka karibu na Yesu. Basi, wakatoboa sehemu ya paa iliyokuwa juu ya mahali alipokuwa Yesu. Walipokwisha pata nafasi, wakamteremsha huyo mtu akiwa amelala juu ya mkeka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kwa sababu ya huo umati wa watu, hawakuweza kumpeleka karibu na Yesu. Basi, wakatoboa sehemu ya paa iliyokuwa juu ya mahali alipokuwa Yesu. Walipokwisha pata nafasi, wakamteremsha huyo mtu akiwa amelala juu ya mkeka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kwa sababu ya huo umati wa watu, hawakuweza kumpeleka karibu na Yesu. Basi, wakatoboa sehemu ya paa iliyokuwa juu ya mahali alipokuwa Yesu. Walipokwisha pata nafasi, wakamteremsha huyo mtu akiwa amelala juu ya mkeka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kwa kuwa hawakuweza kumfikisha kwa Isa kwa sababu ya umati wa watu, walitoboa tundu kwenye paa juu ya mahali Isa alikuwa, wakamshusha mtu aliyepooza akiwa amelalia mkeka wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kwa kuwa walikuwa hawawezi kumfikisha kwa Isa kwa ajili ya umati wa watu, walitoboa tundu kwenye paa mahali pale alipokuwa Isa, wakamshusha yule aliyepooza kwa kitanda alichokuwa amelalia.

Tazama sura Nakili

Marko 2:4
3 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.

Hatta walipokosa pa kumpeleka ndani kwa sababu ya lile kundi la watu, wakapanda juu ya dari wakampisha katika matofali, wakamshusha na kitanda chake hatta katikati mbele ya Yesu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo