Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 2:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Akawaambia, Sabato ilikuwa kwa ajili ya mwana Adamu, si mwana Adamu kwa ajili ya sabato.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Basi, Yesu akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa ajili ya binadamu na si binadamu kwa ajili ya Sabato!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Basi, Yesu akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa ajili ya binadamu na si binadamu kwa ajili ya Sabato!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Basi, Yesu akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa ajili ya binadamu na si binadamu kwa ajili ya Sabato!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Kisha Isa akawaambia, “Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, lakini si mwanadamu kwa ajili ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kisha Isa akawaambia, “Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, lakini si mwanadamu kwa ajili ya Sabato.

Tazama sura Nakili

Marko 2:27
13 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi yeye aliye Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.

Yesu akawaambia, Nitawaulizeni neno moja. Ni halali siku ya Sabato kutenda mema au kutenda mabaya? kuokoa roho au kuua?

Bassi ikiwa mtu apashwa tohara siku ya sabato, torati ya Musa isije ikavunjika, mbona mnanikasirikia kwa sababu nalimfanya mtu kuwa mzima kabisa siku ya sabato?

Kwa maana mambo yote ni kwa ajili yenu, illi, neema hiyo ikiongezwa sana, kwa hao wengi mashukuru yazidishwe, Mungu akatukuzwe.

Bassi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au viuvwaji au kwa sababu ya siku kuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo