Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 2:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Akawaambia, Hamkusoma kabisa alivyofanya Daud, alipokuwa ana haja, akaona njaa, yeye na wenziwe?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati walipokuwa na njaa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati walipokuwa na njaa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma alivyofanya Daudi pamoja na wenzake wakati walipokuwa na njaa?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Isa akawajibu, “Je, hamjasoma alivyofanya Daudi yeye na wenzake walipokuwa na njaa, wakahitaji chakula?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Isa akawajibu, “Je, hamjasoma kamwe alivyofanya Daudi wakati yeye na wenzake walikuwa na njaa, wakahitaji chakula?

Tazama sura Nakili




Marko 2:25
11 Marejeleo ya Msalaba  

Akajihu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,


wakamwambia, Wasikia hawa wanenavyo? Yesu akawaambia, Naam; hamkupata kusoma, Kwa vinywa vya watoto wachanga na wanyonyao umekamilisha sifa?


Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hili lilikuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?


Tena katika khabari ya kiyama ya wafu, hamjaiisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema,


Akafunga siku arubaini mchana na usiku, baadae akaona njaa.


Bassi palikuwa na ndugu saba; wa kwanza akatwaa mke, akafa, asiache mzao.


Na katika khabari ya wafu ya kwamba wafufuka, hamjasoma katika Kitabu cha Musa, mwenye Kijiti, jinsi Mungu alivyomwambia, akinena, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaak, na Mungu wa Yakobo?


Mafarisayo wakamwambia, Tazama, mbona wanatenda lisilo halali siku ya sabato?


Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, zamani za kuhani mkuu Abiatbar, akaila mikate iliyotolewa kwa Mungu, isiyo halali kuliwa illa na makuhani, akawapa na wenziwe?


Akamwambia, Katika torati imeandikwa nini? Wasomaje?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo