Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 2:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Mafarisayo wakamwambia, Tazama, mbona wanatenda lisilo halali siku ya sabato?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Mafarisayo wakawaambia, “Tazama! Kwa nini wanafanya jambo ambalo si halali kufanya siku ya Sabato?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Mafarisayo wakawaambia, “Tazama! Kwa nini wanafanya jambo ambalo si halali kufanya siku ya Sabato?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Mafarisayo wakawaambia, “Tazama! Kwa nini wanafanya jambo ambalo si halali kufanya siku ya Sabato?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Mafarisayo wakamwambia, “Tazama, mbona wanafanya jambo lisilo halali kufanywa siku ya Sabato?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Mafarisayo wakamwambia, “Tazama, mbona wanafanya jambo lisilo halali kufanywa siku ya Sabato?”

Tazama sura Nakili

Marko 2:24
18 Marejeleo ya Msalaba  

Na Mafarisayo walipoona, wakamwambia, Tazama! wanafunzi wako wanatenda lililo haramu kutenda siku ya sabato.

Na waandishi na Mafarisayo walipomwona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi, waliwaambia wanafunzi wake, Kwa nini anakula na kunywa pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

Akawaambia, Hamkusoma kabisa alivyofanya Daud, alipokuwa ana haja, akaona njaa, yeye na wenziwe?

Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezae kuondoa dhambi isipokuwa mmoja, ndive Mungu?

Maana mtafakarini sana yeye aliyeyavumilia mapingamizi makuu namna hii ya wenye dhambi juu ya nafsi zao, msije mkadhoofika mkizimia mioyoni mwenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo