Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 2:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Hatta alipokuwa akipita katika makonde siku ya sabato, wanafunzi wake wakaanza kuendelea wakivunja masuke.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Siku moja ya Sabato, Yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano. Walipokuwa wanatembea, wanafunzi wake wakaanza kukata masuke ya ngano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Siku moja ya Sabato, Yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano. Walipokuwa wanatembea, wanafunzi wake wakaanza kukata masuke ya ngano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Siku moja ya Sabato, Yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano. Walipokuwa wanatembea, wanafunzi wake wakaanza kukata masuke ya ngano.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Siku moja ya Sabato, Isa pamoja na wanafunzi wake walikuwa wakipita katikati ya mashamba ya nafaka. Walipokuwa wakitembea, wanafunzi wake wakaanza kuvunja masuke.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Siku moja ya Sabato, Isa pamoja na wanafunzi wake walikuwa wakipita katikati ya mashamba ya nafaka. Walipokuwa wakitembea, wanafunzi wake wakaanza kuvunja masuke.

Tazama sura Nakili

Marko 2:23
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wala hapana mtu atiae divai mpya katika viriba vikuukuu: ikiwa atia, ile divai nipya itavipasua viriba vile, divai ikamwagika, vile viriba vikaharibika. Bali hutia divai mpya katika viriba vipya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo