Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 2:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Wala hapana mtu atiae divai mpya katika viriba vikuukuu: ikiwa atia, ile divai nipya itavipasua viriba vile, divai ikamwagika, vile viriba vikaharibika. Bali hutia divai mpya katika viriba vipya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Wala watu hawatii divai mpya katika viriba vikuukuu. Kama wakifanya hivyo, divai itavipasua hivyo viriba, nayo divai pamoja na hivyo viriba vitaharibika. Divai mpya hutiwa katika viriba vipya!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Wala watu hawatii divai mpya katika viriba vikuukuu. Kama wakifanya hivyo, divai itavipasua hivyo viriba, nayo divai pamoja na hivyo viriba vitaharibika. Divai mpya hutiwa katika viriba vipya!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Wala watu hawatii divai mpya katika viriba vikuukuu. Kama wakifanya hivyo, divai itavipasua hivyo viriba, nayo divai pamoja na hivyo viriba vitaharibika. Divai mpya hutiwa katika viriba vipya!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Wala hakuna mtu awekaye divai mpya kwenye viriba vikuukuu. Akifanya hivyo, ile divai mpya itavipasua hivyo viriba, nayo hiyo divai itamwagika na viriba vitaharibika. Lakini divai mpya huwekwa kwenye viriba vipya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Wala hakuna mtu awekaye divai mpya kwenye viriba vikuukuu. Akifanya hivyo, ile divai mpya itavipasua hivyo viriba, nayo hiyo divai itamwagika na viriba vitaharibika. Lakini divai mpya huwekwa kwenye viriba vipya.”

Tazama sura Nakili

Marko 2:22
9 Marejeleo ya Msalaba  

Wala watu hawatii divai mpya katika viriba vikuukuu; ikiwa watia, vile viriba hupasuka, divai ikamwagika, vile viriba vikaharibika: bali hutia divai mpya katika viriba vipya, vikahifadhika vyote.

Hakuna mtu ashonae kiraka cha nguo mpya katika vazi kuukuu: ikiwa ashona, kile kipya kilicholiwa huliharibu lile vazi kuukuu, na pale palipolatuka huzidi.

Hatta alipokuwa akipita katika makonde siku ya sabato, wanafunzi wake wakaanza kuendelea wakivunja masuke.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo