Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 2:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Wanafunzi wake Yohana nao wa Mafarisayo walikuwa wakifunga: wakaja, wakamwambia, Kwa nini wanafunzi wa Yohana na wanafunzi wra Mafarisayo hufunga, bali wanafunzi wako hawafungi?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Wakati mmoja wanafunzi wa Yohane na wanafunzi wa Mafarisayo walikuwa wanafunga. Basi, watu wakaja, wakamwuliza Yesu, “Kwa nini wanafunzi wa Yohane na wa Mafarisayo wanafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Wakati mmoja wanafunzi wa Yohane na wanafunzi wa Mafarisayo walikuwa wanafunga. Basi, watu wakaja, wakamwuliza Yesu, “Kwa nini wanafunzi wa Yohane na wa Mafarisayo wanafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Wakati mmoja wanafunzi wa Yohane na wanafunzi wa Mafarisayo walikuwa wanafunga. Basi, watu wakaja, wakamwuliza Yesu, “Kwa nini wanafunzi wa Yohane na wa Mafarisayo wanafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Basi wanafunzi wa Yahya pamoja na Mafarisayo walikuwa wakifunga. Watu wakamjia Isa na kumuuliza, “Mbona wanafunzi wa Yahya na wa Mafarisayo hufunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Basi wanafunzi wa Yahya pamoja na Mafarisayo walikuwa wakifunga. Baadhi ya watu wakamjia Isa na kumuuliza, “Mbona wanafunzi wa Yahya na wa Mafarisayo hufunga lakini wanafunzi wako hawafungi?”

Tazama sura Nakili

Marko 2:18
8 Marejeleo ya Msalaba  

Tena matendo yao yote huyatenda illi kutazamwa na watu: hupanua fulakteria zao, huongeza matamvna ya mavazi yao;

Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana: maana hujiumbua nyuso zao, illi waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambieni, wamekwisha kupata thawabu yao.

illi usionekane na watu kuwa unafunga, bali na Baba yako aliye kwa siri; na Baba yako, aonae kwa siri, atakujazi kwa dhahiri.

Yesu akawaambia, Wana wa arusi wawezaje kufunga maadam Bwana arusi yupo pamoja nao? Maadam Bwana arusi yupo pamoja nao hawawezi kufunga.

Nafunga marra mbili kwa juma; nalipa zaka za mapato yangu yote.

Kwa maana, wakiwa hawajui haki ya Mungu, na wakitaka kuithubutisha haki yao wenyewe, hawakujitia chini ya haki ya Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo