Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 2:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Hatta alipokuwa akipita akamwona Lawi wa Alfayo, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate. Akaondoka akamfuata.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Alipokuwa akipita, akamwona Lawi mwana wa Alfayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Yesu akamwambia, “Nifuate!” Lawi akasimama, akamfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Alipokuwa akipita, akamwona Lawi mwana wa Alfayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Yesu akamwambia, “Nifuate!” Lawi akasimama, akamfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Alipokuwa akipita, akamwona Lawi mwana wa Alfayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Yesu akamwambia, “Nifuate!” Lawi akasimama, akamfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Alipokuwa akitembea, akamwona Lawi mwana wa Alfayo ameketi forodhani mahali pa kutoza ushuru. Isa akamwambia, “Nifuate.” Naye Lawi akaondoka, akamfuata Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Alipokuwa akitembea, akamwona Lawi mwana wa Alfayo ameketi forodhani mahali pa kutoza ushuru, akamwambia, “Nifuate.” Lawi akaondoka, akamfuata Isa.

Tazama sura Nakili




Marko 2:14
9 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Yesu akamwambia, Nifuate; waache wafu wazike wafu wao.


Hatta alipokuwa akila nyumbani mwake, watoza ushuru wengi na wenye dhambi waliketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake: kwa maana walikuwa wengi wakamfuata.


na Andrea, na Filipo, na Bartolomayo, na Mattayo, na Tomaso, na Yakobo wa Alfayo, na Thaddayo na Simon Mkanani,


Mattayo na Tomaso, Yakobo wa Alfayo, na Simon aliyeitwa Zelote,


Hatta walipoingia, wakapanda orofani, walipokuwa wakikaa; Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea, Filipo na Tomaso, Bartolomayo na Mattayo, Yakobo wa Alfayo, na Simon Zelote, na Yuda wa Yakobo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo