Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 2:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Akatoka tena, akaenda kando ya bahari, makutano yote wakamwendea, akawafundisha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Yesu alikwenda tena kando ya ziwa. Umati wa watu ukamwendea, naye akaanza kuwafundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Yesu alikwenda tena kando ya ziwa. Umati wa watu ukamwendea, naye akaanza kuwafundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Yesu alikwenda tena kando ya ziwa. Umati wa watu ukamwendea, naye akaanza kuwafundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Isa akaenda tena kandokando ya Bahari ya Galilaya. Umati mkubwa wa watu wakamfuata, naye akaanza kuwafundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Isa akaenda tena kandokando ya Bahari ya Galilaya. Umati mkubwa wa watu ukamfuata, naye akaanza kuwafundisha.

Tazama sura Nakili




Marko 2:13
11 Marejeleo ya Msalaba  

SIKU ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.


Yesu alipokuwa anaondoka kutoka huko akaona mtu amekeli fordhani, aitwae Mattayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.


Nae akatoka, akaanza kukhubiri mengi, na kulitangaza lile neno, hatta Yesu asiweze tena kuingia mjini kwa wazi; bali alikuwa nje mabali pasipo watu; wakamwendea kutoka killa pahali.


AKAONDOKA huko akafika mipaka ya Yahudi kwa niia ya ngʼambu ya Yardani; watu wengi wakakutanika tena wakamwendea; akawafundisha tena kama alivyozoea.


Marra wakakusanyika watu wengi isibaki nafasi hatta mlangoni: akasema nao neno lake.


AKAANZA kufundisha tena kando ya bahari. Wakamkusanyikia mkutano mkuliwa, hatta yeye akapanda chomboni, akakaa baharini; mkutano wote ulikuwako katika inchi kavu kando ya bahari.


nao bawakuona la kutenda; maana watu wote waliambatana nae, wakimsikiliza.


Watu wote wakaamka mapema wakamwendea alfajiri mle hekaluni illi kumsikiliza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo