Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 2:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu ana mamlaka duniani ya kuondoa dbambi (amwambia yule inwenye kupooza),

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anayo mamlaka ya kuwasamehe watu dhambi duniani.” Hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anayo mamlaka ya kuwasamehe watu dhambi duniani.” Hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anayo mamlaka ya kuwasamehe watu dhambi duniani.” Hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Lakini ili mpate kujua kwamba Mwana wa Adamu anayo mamlaka duniani ya kusamehe dhambi”: Isa akamwambia yule aliyepooza,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Lakini ili mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo mamlaka duniani kusamehe dhambi…” Isa akamwambia yule aliyepooza,

Tazama sura Nakili

Marko 2:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akaenda pande za Kaisaria Filipi, akawauliza wanafunzi wake akinena, Watu huninena mimi, Mwana wa Adamu, kuwa nani?

Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako ukaende nyumbani kwako.

Vipi vyepesi, kumwambia mwenye kupooza, Dhambi zako zimeondolewa, au kusema, Ondoka, njitwike kitanda chako, ukaenende?

Mtu kuyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli toha na masamaha ya dhambi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo