Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 16:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Wakatoka humo, wakakimbia kutoka kaburini: kwa maana waliingia tetemeko na ushangao: wala hawakumwambia mtu neno, maana waliogopa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Basi, wakatoka pale kaburini mbio, maana walitetemeka kwa hofu na kushangaa. Hawakumwambia mtu yeyote kitu, kwa sababu waliogopa mno. [

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Basi, wakatoka pale kaburini mbio, maana walitetemeka kwa hofu na kushangaa. Hawakumwambia mtu yeyote kitu, kwa sababu waliogopa mno. [

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Basi, wakatoka pale kaburini mbio, maana walitetemeka kwa hofu na kushangaa. Hawakumwambia mtu yeyote kitu, kwa sababu waliogopa mno. [

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Hivyo wakatoka, wakakimbia kutoka mle kaburini wakiwa na hofu kuu na mshangao. Nao hawakumwambia mtu yeyote neno lolote, kwa sababu waliogopa. [

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Hivyo wakatoka, wakakimbia kutoka mle kaburini wakiwa na hofu kuu na mshangao. Nao hawakumwambia mtu yeyote neno lolote, kwa sababu waliogopa.

Tazama sura Nakili




Marko 16:8
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaondoka upesi kutoka kaburini, kwa khofu na furaha nyingi, wakaenda mbio kuwapasha wanafunzi wake khabari.


Ikawa, Yesu alipomaliza maneno haya, makutano wakashangaa kwa mafundisho yake:


Lakini enendeni zenu, mkawaambie wanafunzi wake, na Petro, ya kwamba awatangulia kwenda Galilaya: huko mtamwona, kama alivyowaambia.


Alipofufuka Yesu assubuhi siku ya kwanza ya sabato alimtokea kwanza Mariamu Magdalene, ambae kwamba alimtoa pepo saba.


Msichukue kifuko, wala mkoba, wala viatu: wala msimsalimu mtu njiani.


Wakafadhaika, wakaingiwa na khofu, wakidhani ya kuwa wanaona pepo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo