Marko 16:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 wakasemezana wao kwa wao, Nani atakaetufingirishia lile jiwe kutoka mlangoni mwa kaburi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nao wakawa wanaambiana, “Nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nao wakawa wanaambiana, “Nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nao wakawa wanaambiana, “Nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Njiani wakawa wanaulizana wao kwa wao, “Ni nani atakayetuvingirishia lile jiwe kutoka ingilio la kaburi?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Njiani wakawa wanaulizana wao kwa wao, “Ni nani atakayetuvingirishia lile jiwe kutoka kwenye ingilio la kaburi?” Tazama sura |