Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 16:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Hatta assubuhi mapema, siku ya kwanza ya sabato, wakaenda kaburini, jua lilipochomoza;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Basi, alfajiri na mapema siku ya Jumapili, walifika kaburini, jua lilipoanza kuchomoza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Basi, alfajiri na mapema siku ya Jumapili, walifika kaburini, jua lilipoanza kuchomoza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Basi, alfajiri na mapema siku ya Jumapili, walifika kaburini, jua lilipoanza kuchomoza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Asubuhi na mapema, siku ya kwanza ya juma, mara tu baada ya kuchomoza jua, walienda kaburini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Asubuhi na mapema, siku ya kwanza ya juma, mara tu baada ya kuchomoza jua, walikwenda kaburini.

Tazama sura Nakili




Marko 16:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

SABATO ilipokwisha, ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, akaenda Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, kulitazama kaburi.


HATTA sabato ilipokwisha kupita, Mariamu Magdalene na Mariamu wa Yakobo na Salome walinunua manukato wapate kwenda kumpaka.


wakasemezana wao kwa wao, Nani atakaetufingirishia lile jiwe kutoka mlangoni mwa kaburi?


HATTA siku ya kwanza ya juma, ikianza kupambazuka, wakaenda kaburini wakiyaleta yale manukato waliyoyaweka tayari, na wengine pamoja nao.


HATTA siku ya kwanza ya sabato Mariamu Magdalene akaenda kaburini alfajiri, kungali giza bado, akaliona jiwe limeondolewa kaburini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo