Marko 16:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Na hawa wakaenda zao wakawapa khabari wale wengine: wala hawakuwasadiki hawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Nao pia wakaenda, wakawaambia wenzao. Hata hivyo hawakuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Nao pia wakaenda, wakawaambia wenzao. Hata hivyo hawakuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Nao pia wakaenda, wakawaambia wenzao. Hata hivyo hawakuamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Nao wakarudi na kuwaambia wenzao. Lakini hawakuwasadiki wao pia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Nao wakarudi na kuwaambia wenzao. Lakini hawakuwasadiki wao pia. Tazama sura |