Marko 16:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Na hawa waliposikia kama yu hayi akaonwa nae, hawakusadiki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Lakini waliposikia kwamba Isa yu hai na kwamba Mariamu alikuwa amemwona, hawakusadiki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Lakini waliposikia kwamba Isa yu hai na kwamba Maria alikuwa amemwona, hawakusadiki. Tazama sura |