Marko 16:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Huyu akashika njia akawapa khabari wale waliokuwa pamoja nae tangu zamani, wangali wakiomboleza na kulia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Maria Magdalene akaenda, akawajulisha wale waliokuwa pamoja na Yesu, na wakati huo walikuwa wanaomboleza na kulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Maria Magdalene akaenda, akawajulisha wale waliokuwa pamoja na Yesu, na wakati huo walikuwa wanaomboleza na kulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Maria Magdalene akaenda, akawajulisha wale waliokuwa pamoja na Yesu, na wakati huo walikuwa wanaomboleza na kulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mariamu akaenda, naye akawaambia wale waliokuwa wamefuatana na Isa, waliokuwa wanaomboleza na kulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Maria akaenda, naye akawaambia wale waliokuwa wamefuatana na Isa, waliokuwa wanaomboleza na kulia. Tazama sura |