Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 15:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Pilato akawajibu, akisema, Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie huyu mfalme wa Wayahudi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie huyu Mfalme wa Wayahudi?”

Tazama sura Nakili




Marko 15:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana alifahamu ya kuwa makuhani wakuu wamemtoa kwa husuda.


Makutano wakapaaza sauti zao, wakaanza kuomba vile kama alivvozoea kuwatendea.


Lakini kwenu kuna desturi, ya mimi kuwafungulia mtu mmoja wakati wa Pasaka: bassi, wapenda niwafungulie mfalme wa Wayahudi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo