Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 15:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Makutano wakapaaza sauti zao, wakaanza kuomba vile kama alivvozoea kuwatendea.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Umati ule wa watu wakamjia Pilato na kumwomba awafanyie kama ilivyokuwa desturi yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Ule umati wa watu ukamjia Pilato na kumwomba awafanyie kama ilivyokuwa desturi yake.

Tazama sura Nakili




Marko 15:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi wakati wa siku kuu liwali desturi yake huwafungulia makutano mfungwa mmoja waliyemtaka.


AKAONDOKA huko akafika mipaka ya Yahudi kwa niia ya ngʼambu ya Yardani; watu wengi wakakutanika tena wakamwendea; akawafundisha tena kama alivyozoea.


Palikuwa na mtu aitwae Barabba, amefungwa pamoja na watu waliofanya fitina na kufanya uuaji katika fitina.


Pilato akawajibu, akisema, Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo