Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 15:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Palikuwa na mtu aitwae Barabba, amefungwa pamoja na watu waliofanya fitina na kufanya uuaji katika fitina.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Wakati huo, mtu aliyeitwa Baraba alikuwa amefungwa gerezani pamoja na waasi wengine waliokuwa wametekeleza uuaji wakati wa maasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wakati huo, mtu aliyeitwa Baraba alikuwa amefungwa gerezani pamoja na waasi wengine waliokuwa wametekeleza uuaji wakati wa maasi.

Tazama sura Nakili

Marko 15:7
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi walikuwa na mfungwa mashuhuri siku zile, jina lake Barabba.

Bassi katika siku kuu huwafungulia mfungwa mmoja, wamtakae.

Makutano wakapaaza sauti zao, wakaanza kuomba vile kama alivvozoea kuwatendea.

Akamfungua yeye aliyetiwa gerezani kwa fitina na uuaji, waliyemtaka: akatoa Yesu kwa mapenzi yao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo