Marko 15:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192147 Mariamu Magdalene na Mariamu wa Yose wakapatazama alipowekwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Nao Maria Magdalene na Maria mama yake Yose walipaona hapo alipolazwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Nao Maria Magdalene na Maria mama yake Yose walipaona hapo alipolazwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Nao Maria Magdalene na Maria mama yake Yose walipaona hapo alipolazwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Mariamu Magdalene na Mariamu mamaye Yose walipaona mahali pale alipolazwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Maria Magdalene na Maria mamaye Yose walipaona mahali pale alipolazwa. Tazama sura |