Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 15:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

46 Akanunua saanda, akamshusha, akamfungia ile saanda, akamweka katika kaburi lililochongwa mwambani: akafingirisha jiwe mbele ya mlango wa kaburi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Hapo Yosefu akanunua sanda ya kitani, akauteremsha chini huo mwili, akauzungushia sanda. Akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa mwambani, kisha akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Hapo Yosefu akanunua sanda ya kitani, akauteremsha chini huo mwili, akauzungushia sanda. Akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa mwambani, kisha akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Hapo Yosefu akanunua sanda ya kitani, akauteremsha chini huo mwili, akauzungushia sanda. Akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa mwambani, kisha akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Hivyo Yusufu akanunua kitambaa cha kitani safi, akaushusha mwili kutoka msalabani, akaufunga katika kile kitambaa cha kitani, na kuuweka ndani ya kaburi lililochongwa kwenye mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kwenye ingilio la kaburi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

Marko 15:46
12 Marejeleo ya Msalaba  

Na kumbe! palikuwa na tetemeko kubwa la inchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka mbinguni, akakaribia akalifingirisha lile jiwe mbali ya mlango, akaketi juu yake.

Hatta alipokwisha kupata hakika, akamtunukia Yusuf maiti.

Mariamu Magdalene na Mariamu wa Yose wakapatazama alipowekwa.

Akaushusha, akauzinga nguo za katani, akauweka katika kaburi lililochongwa mwambani; hajawekwa mtu aliye yote ndani yake kamwe.

Bassi Yesu akiugua tena nafsini mwake akatika kaburini. Nalo lilikuwa pango, na jiwe limewekwa juu yake.

Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.

HATTA siku ya kwanza ya sabato Mariamu Magdalene akaenda kaburini alfajiri, kungali giza bado, akaliona jiwe limeondolewa kaburini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo