Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 15:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 Pilato akastaajabu, kwa sababu amekwisha kufa. Akamwita yule akida, akamwuliza kwamba amekufa kitambo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Pilato alishangaa kusikia kwamba Yesu alikuwa amekwisha kufa. Basi, akamwita jemadari, akamwuliza kama Yesu alikuwa amekufa kitambo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Pilato alishangaa kusikia kwamba Yesu alikuwa amekwisha kufa. Basi, akamwita jemadari, akamwuliza kama Yesu alikuwa amekufa kitambo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Pilato alishangaa kusikia kwamba Yesu alikuwa amekwisha kufa. Basi, akamwita jemadari, akamwuliza kama Yesu alikuwa amekufa kitambo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Pilato alikuwa akijiuliza kama Isa alikuwa amekwisha kufa. Hivyo akamwita yule jemadari, akamuuliza iwapo Isa alikuwa amekwisha kufa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Pilato alikuwa akijiuliza kama Isa alikuwa amekwisha kufa. Hivyo akamwita yule jemadari, akamuuliza iwapo Isa alikuwa amekwisha kufa.

Tazama sura Nakili

Marko 15:44
4 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.

akaenda Yusuf, mtii wa Arimathaya, mstahiki, mtu wa baraza la mashauri, nae mwenyewe anautazamia ufalme wa Mungu; akafanya ujasiri, akaingia mbele ya Pilato akauomba mwili wake Yesu.

Hatta alipokwisha kupata hakika, akamtunukia Yusuf maiti.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo