Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 15:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Hatta ikiisba kuwa jioni, kwa sababu ni Maandalio, ndiyo siku iliyo kabla ya sabato,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Wakati wa jioni ulikuwa umekwisha fika. Hiyo ilikuwa siku ya Maandalio, yaani siku inayotangulia Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Wakati wa jioni ulikuwa umekwisha fika. Hiyo ilikuwa siku ya Maandalio, yaani siku inayotangulia Sabato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Wakati wa jioni ulikuwa umekwisha fika. Hiyo ilikuwa siku ya Maandalio, yaani siku inayotangulia Sabato.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Ilipofika jioni, kwa kuwa ilikuwa Siku ya Maandalizi (yaani siku moja kabla ya Sabato),

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Ilipofika jioni, kwa kuwa ilikuwa Siku ya Maandalizi, yaani siku moja kabla ya Sabato,

Tazama sura Nakili

Marko 15:42
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Wayahudi, kwa maana ni Maandalio, miili isikae juu va msalaba siku ya sabato (maana siku ya sabato ile ilikuwa siku kuhwa), wakamwomba Pilato, miguu yao ivunjwe, wakaondolewe.

Hatta walipomaliza yote aliyoandikiwa, wakamshusha katika mti, wakamweka kaburini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo